Home Mchanganyiko RAIS SAMIA AKIELEKEA ZAMBIA KUHUDHURIA KUAPISHWA RAIS MTEULE

RAIS SAMIA AKIELEKEA ZAMBIA KUHUDHURIA KUAPISHWA RAIS MTEULE

0

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24,2021 alipokuwa akielekea Nchini Zambia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule Mhe. Hakainde Hichilema. IKULU