Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Kijijini Dar es salaam leo Agosti 24,2021 akitokea Nhini Zambia alikohudhuria Sherehe ya kuapisha kwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema. PICHA NA IKULU
MHE. RAIS SAMIA AWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE DAR ES SALAAM AKITOKEA NCHINI ZAMBIA
