Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko atembelea kampuni ya uchimbaji makaa ya mawe TANCOAL iliyopo wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma.
Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko akisalimiana na wachimbaji wa makaa ya mawe wa kampuni ya TANCOAL iliyopo wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma siku Ijumaa Agosti 13, 2021.
Waziri wa madini Mhe. Doto Biteko akitoa maelekezo kwa wachimbaji wa makaa yam awe wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma.