Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Nickson Kisinga ameachia Video Mpya iitwayo ‘Kuna Mji’ . Karibu usikilize Muziki mtamu unaotukumbusha mji mzuri wa Mbinguni. Ubarikiwe na wimbo huu!