Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la zabibu la Chinangali II wilayani Chamwino, Dodoma, Agosti 13, 2021. Kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua shamba la zabibu la Chinangali II wilayani Chamwino Dodoma, Agosti 13, 2021. Kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mstaasfu, John Malecela na kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la zabibu la Chinangali II wilayani Chamwino, Dodoma, Agosti 13, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua bwawa la Maji la shamba la zabibu la Chinangali II wilayani Chamwino Dodoma, Agosti 13, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)