Home Siasa WAFUASI WA CHADEMA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU LEO

WAFUASI WA CHADEMA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU LEO

0

Polisi wakivinjari nje ya mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam ilikudhibi maandamano ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambao wamefika mahakamani hapo mapema  leo Alhamis Agosti 5,2021 ambako kesi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Bw Freeman Mbowe imesikilizwa, Mwenyekiti huyo pamoja na mashtaka mengine anatuhumiwa kwa kesi ya kujihusisha na ugaidi.

Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wakiwa nje ya mahakama hiyo.