MBUNGE wa Viti Maalumu CCM (NGOs Tanzania Bara) Neema Lugangira akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Wiki ya Azaki imefanyika Jijini Dar es Salaam Julai 29 Julai 2021 |
MBUNGE
wa Viti Maalumu CCM (NGOs Tanzania Bara) Neema Lugangira amesema
umesema wakati kuhakikisha fedha za ufadhili ambazo zinatoka nje ya nchi
zinazokuja nchini ziweze kufanyiwa kazi na kutelezwa na NGOs na CSOs
kutoka ndani ya nchi,

Aliyasema
hayo Siku ya Uzinduzi wa Wiki ya Azaki imefanyika Jijini Dar es Salaam
Julai 29 Julai 2021 ambapo alisema takwimu zinaonyesha kwamba zile fedha
ambazo zinazoingia kwa ajili ya Sekta ya Azaki ni asilimia 1 pekee yake
ndio zinaekwenda kwa CSOs, NGOs ambazo zimeanzishwa na Watanzania.

Mbunge
Lugangira alisema kwa sababu takwimu zinaonyesha asilimia 99 ya fedha
zinazotoka nje zinapita kupitia mashirika ambazo sio ya kiserikali
lakini ni ya Kimataifa huku akieleza ili miradi yetu iwe endelevu lazima
NGOs/CSOs za ndani ziweze kushiriki katika utekelezaji wa miradi hiyo
na ndio maana mara nyingi wanaona kuna miradi fulani ukishaasha ufadhili
na mfadhili akishaondoka mradi unakuwa hauendelei.

Alisema
pia mara nyingi Sekta ya Azaki wanahesabiwa kama sehemu ya Sekta
Binafsi lakini Sekta Binafsi ni tofauti zaidi kwa sababu wale ni
wafanyabiashara zaidi na wanapokwenda kuongea mwakilisha Sekta Binafasi
hawezi kuwakilisha Sekta ya Azaki.

“Nimejaribu
kutoa changamoto kama wadau mnatambulika kama sekta inayosimama
inachangia kwenye maendeleo ili kufanya hivyo lazima waonyeshe mchango
wao dhahiri ni upi ili waweze kutambulika”Alisema

Hivyo alisema ni
matarajio yake itapoandaliwa wiki ya Azaki mwezi Octoba mwaka huu basi watapata
majawabu kwenye eneo hilo na watafanya mikakati madhubiti ya kutoka asilimia 1
na iongezeke