Home Mchanganyiko RAIS DK. MWINYI ASHIRIKI SALA MSIKITI WIRELESS KIKWAJUNI

RAIS DK. MWINYI ASHIRIKI SALA MSIKITI WIRELESS KIKWAJUNI

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Msikiti wa Wireless Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Sala ya Ijumaa akiwa katika kawaida yake ya kushiriki Sala katika Misikiti mbali mbali Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waumini  wa Dini ya Kiislamu  katika Msikiti wa Wireless Kikwajuni Jijini Zanzibar mara baada ya  Sala ya Ijumaa akiwa katika kawaida yake ya kushiriki Sala katika Misikiti mbali mbali Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati  alipokuwa akizungumza na kuwasalimia  Waumini  wa Dini ya Kiislamu  katika Msikiti wa Wireless Kikwajuni Jijini Zanzibar mara baada ya  Sala ya Ijumaa akiwa katika kawaida yake ya kushiriki Sala katika Misikiti mbali mbali Zanzibar.[Picha na Ikulu