Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Msikiti wa Wireless Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Sala ya Ijumaa akiwa katika kawaida yake ya kushiriki Sala katika Misikiti mbali mbali Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Wireless Kikwajuni Jijini Zanzibar mara baada ya Sala ya Ijumaa akiwa katika kawaida yake ya kushiriki Sala katika Misikiti mbali mbali Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Wireless Kikwajuni Jijini Zanzibar mara baada ya Sala ya Ijumaa akiwa katika kawaida yake ya kushiriki Sala katika Misikiti mbali mbali Zanzibar.[Picha na Ikulu