RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi Mdogo wa Oman anayefanyika Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha rasmin leo 13-7-2021.(Picha na Ikulu