Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akimpa pole Bi.Tumpale Kilasi ambaye amefiwa na Mume wake Kada wa Chama Cha Mapinduzi Asifiwe Brown Mwanjisi kilichptokea jana huko Mwakaleli Kandete, Busokelo wilaya ya Rungwe ikiwa siku ya 2 ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Mbeya leo Julai 12, 2021