Home Siasa KATIBU MKUU WA CCM NDUGU DANIEL CHONGOLO AWAHUTUBIA VIONGOZI WA CCM MKOANI...

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU DANIEL CHONGOLO AWAHUTUBIA VIONGOZI WA CCM MKOANI MBEYA

0

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akihutubia Viongozi wa Chama na Serikali katika Ukumbi wa Mkapa mara baada ya kuwasili mkoani Mbeya ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake akiwa ameongozana na Sekretarieti ya CCM Taifa. (Picha na CCM Makao Makuu)