Afisa Mwandamizi wa Bunge, Christopher Kannonyele akielezea historia ya Bunge mbele ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dosa Azizi kutoka Kibaha Mkoani Pwani waliotembelea Banda la Bunge kwa ajili ya kujifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayondelea katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam,
Afisa wa Bunge, Veronica Komba akielezea kuhusu Shughuli za Bunge, Siwa na Taarifa rasmi za Bunge wakati wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dosa Azizi kutoka Kibaha Mkoani Pwani waliotembelea Banda la Bunge kwa ajili ya kujifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayondelea katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam,
Afisa Habari Ofisi ya Bunge, Zuhura Mtatifikolo akielezea kuhusu umuhimu wa joho la Wenyeviti wa Bunge mbele ya wageni waliotembelea Banda la Bunge kwa ajili ya kujifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayondelea katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam
Afisa Itifaki Mwandamizi wa Bunge, Zainab Kihange akielezea utaratibu wa kutembelea Bunge kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dosa Azizi kutoka Kibaha Mkoani Pwani waliotembelea Banda la Bunge kwa ajili ya kujifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayondelea katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dosa Azizi kutoka Kibaha Mkoani Pwani wakiwa katika Banda la Bunge kwa ajili ya kujifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayondelea katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam
PICHA NA OFISI YA BUNGE