Jengo la taasisi ya utafiti wa Uvuvi na Rasilimali za Bahari Zanzibar lililofunguliwa na Rais wa Zanizibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Wilaya ya Mjini Unguja[Picha na Ikulu] 09/07/2021.