Home Mchanganyiko WAGENI MBALIMBALI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA 45 YA SABASABA...

WAGENI MBALIMBALI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA 45 YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM

0

Afisa Itifaki Mwandamizi wa Bunge, Zainab Kihange akielezea umuhimu wa Siwa (almaarufu kama rungu la dhahabu) kwa wageni Mbalimbali waliotembelea Banda la Bunge katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu. J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam

Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la Bunge katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu. J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam,

Afisa wa Bunge, Veronica Komba akielezea kuhusu utaratibu wa kutembelea Bunge kwa wageni Mbalimbali waliotembelea Banda la Bunge katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu. J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam,

Wageni Mbali mbali wakipatiwa maelezo na Maafisa wa Bunge kuhusu historia ya Bunge, Siwa, Taarifa rasmi za Bunge na Shughuli za Bunge wakati walipotembelea Banda la Bunge katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu. J.K. Nyerere Jijini Dar es Salaam, Julai 7, 2021

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)