Home Siasa SHAKA AHUTUBIA WANANCHI WA SUMBAWANGA

SHAKA AHUTUBIA WANANCHI WA SUMBAWANGA

0

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akihutubia wakazi wa kijiji cha Kilangawana,wakati wa kikao cha Balozi wa Shina namba 6, wilayani Sumbawanga ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Rukwa leo Julai7, 2021. (Picha na CCM Makao Makuu)

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akizungumza na Bi Salome Omari wakati wa kikao cha Balozi wa Shina namba 6, wilayani Sumbawanga ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Rukwa leo Julai7, 2021. (Picha na CCM Makao Makuu)