Home Biashara WANANCHI MBALIMBALI WAENDELEA KUPATA ELIMU YA HUDUMA ZA KIFEDHA KWENYE BANDA LA...

WANANCHI MBALIMBALI WAENDELEA KUPATA ELIMU YA HUDUMA ZA KIFEDHA KWENYE BANDA LA BoT

0

Bw. Ephraim Madembwe Mchambuzi Mwandamizi Mifumo ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania BoT akiwapa elimu wananchi waliotembelea banda la benki hiyo kuhusu hati fungani kwenye  maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 06, 2021.

Meneja Msaidizi Huduma za Kifedha Benki Kuu ya Tanzania BoT Bw. Nixson Kyando akitoa elimu jinsi fedha mbovu zinavyotolewa kwenye mzunguko na kuharibiwa kwenye  maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 06, 2021.

Bi Joyce Shala Afisa Mwandamizi Rasirimali Watu Benki Kuu ya Tanzania akitoa maelezo kwa wananchi wakati walipotembelea katika banda hilo kuhusu bodi ya bima ya amana  kwenye  maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 06, 2021.

Owen Salewa Afisa Biashara kutoka Kampuni ya Dun&Brandstreet ambao ni wadau wa Benki Kuu ya Tanzania katika huduma za kifedha akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea katika band hilo.

Picha mbalimbali zikionesha wananchi waliotembelea katika banda hilo ili kupata elimu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Benki Kuu ya Tanzania BoT kwenye  maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 06, 2021.