Mwenyekiti wa Bunge, David Kihenzile (kushoto) pamoja na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe (katikati) wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Ofisi ya Bunge, Neema Kiula (kulia) walipotembelea Banda la Bunge katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam, Julai 6, 2021, Wengine ni Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingita kuanzia kushoto nyuma ni Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Getere, Mbunge wa Korogwe Mjini, Dkt. Alfred Kimea na Mbunge wa Lulindi, Issa Mchungahela
Mwenyekiti wa Bunge na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, David Kihenzile akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la Bunge katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam,