Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka ya Elimu na mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa leo jijini Dar es Salaam .
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Kipanga Juma Omary akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka ya Elimu na mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa leo jijini Dar es Salaam .
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Kipanga Juma Omary akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Dkt.Pancras Bujulu mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka hiyo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa leo jijini Dar es Salaam .
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Dkt.Pancras Bujulu mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka hiyo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa leo jijini Dar es Salaam .
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Kipanga Juma Omary wakipata maelekezo kutoka kwa Meneja Uhusiano (VETA),Bw.Sitta Peter mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka hiyo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa leo jijini Dar es Salaam .
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Kipanga Juma Omary wakipata maelekezo
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako akipata maelekezo kutoka kwa mbunifu (VETA), Bw.Clinton Joseph namna mashineya kutengeneza karatasi inavyofanya kazi mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka hiyo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa leo jijini Dar es Salaam .
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Kipanga Juma Omary wakipata maelekezo kutoka kwa mkufunzi wa umeme (VETA) Bw.Gaspar Leo namna kifaa cha kulinda mota za fezi tatu viwandani mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka hiyo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa leo jijini Dar es Salaam .
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako akifurahi jambo na Kiongozi wa watu maalumu (VETA) Bw.Paulo Ngunyali mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka hiyo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa leo jijini Dar es Salaam .
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Kipanga Juma Omary akiangalia mashine ya kupukuchua karanga mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka hiyo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa leo jijini Dar es Salaam .
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Joyce Ndalichako akiwa pamoja na Naibu akipata maelekezo Mkufunzi wa ubunifu wa mavazi (VETA) Bi.Elizabeth Luwongo mara baada ya kutembelea banda la Mamlaka hiyo katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa leo jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)