RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Mbuyumaji Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kukifungua Kituo cha Afya Mbuyumaji Matemwe, akiwa katika ziara yake Mkoa Kaskazini Unguja leo 5-7-2021.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Kijiji cha Mbuyumaji Matemwe wakimsikili Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na wananchi baada ya kukifungua Kituo cha Afya Mbuyu Maji Matemwe.(Picha na Ikulu)