Home Mchanganyiko SHIRIKA LA MADINI STAMICO LIKO TAYARI KUONESHA SHUGHULI ZAKE VIWANJA VYA SABASABA

SHIRIKA LA MADINI STAMICO LIKO TAYARI KUONESHA SHUGHULI ZAKE VIWANJA VYA SABASABA

0

Dr. Venance Mwasse Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO akitoa maelekezo kwa Deus Magala Mkurugezi Rasilimali watu kushoto na Geofrey Meena Mkuu wa Masoko na Mawasiliano katikati wakati alipokagua maandalizi ya banda hilo katika maonesho ya  45 ya Biashara ya Kimataifa  ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. 

Dr. Venance Mwasse Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO akitoa maelekezo Geofrey Meena Mkuu wa Masoko na Mawasiliano kulia wakati alipokagua maandalizi ya banda hilo katika maonesho ya  45 ya Biashara ya Kimataifa  ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam katikati ni Bw. Mwalogo afisa kitengo cha tehama na BibiAnna Ndumbalo afisa habari STAMICO.

Dr. Venance Mwasse Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO akimuelekeza jambo Afisa habari wa Shirika hilo Bi. BibiAnna ili kukamilisha maandalizi ya banda hilo.

Geofrey Meena Mkuu wa Masoko na Mawasiliano akiendelea na maandalizi ya  banda hilo kabla ya shirika hilo kuanza rasmi kesho katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa  ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam kushoto ni  Deus Magala Mkurugezi Rasilimali Watu.

Dr. Venance Mwasse Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO akikagua mabanda mbalimbali yaliyopo katika banda kuu la Wizara ya Madini kushoto ni Afisa Habari wa Shirika hilo Bi. BibiAnna.

Baadhi ya maofisa wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO wakijadiliana jambo katika banda lao viwanja vya sabasaba.