Home Mchanganyiko MKUU WA MKOA KUSINI UNGUJA ATOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI

MKUU WA MKOA KUSINI UNGUJA ATOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI

0

Mkuu wa Mkoa wa Kusini  Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali  kuhusiana na  utekelezaji wakazi ndani ya mkoa wake kuanzia Deisemba 2020  hadi Juni 2021 huko Ofisini kwake Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.

PICHA NA FAUZIA MUSSA /MAELEZO ZANZIBAR.