Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na utekelezaji wakazi ndani ya mkoa wake kuanzia Deisemba 2020 hadi Juni 2021 huko Ofisini kwake Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
PICHA NA FAUZIA MUSSA /MAELEZO ZANZIBAR.