Mkuu wa Masoko
na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga akitoa mada juu ya Uwekezaji
pamoja na faida zake kwa wastaafu, ambapo zaidi ya washiriki 50 walihudhuria mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Amabili mjini
Morogoro Juni 22, 2021.

Baadhi ya wastaafu wakiwa katika mkutano ulioandaliwa na UTT AMIS kuhusu Uwekezaji pamoja na faida zake uliofanyika mjini Morogoro Juni 22, 2021.