………………………………………………………………………..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewateua wajumbe sita (6) wa Baraza la Ushindani (Fair Competition Tribunal- FCT) kwa mujibu wa kifungu cha 83(2) (b) cha Sheria ya Ushindani (The Fair Competitionn Act). Wajumbe walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
- Dkt. Onesmo Michael Kyauke kutoka Locus Attoneys;
- Prof. Honest Prosper Ngowi kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe; 3. Dkt. Hanifa Twaha Masawe kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe;
- Mhandisi Bonifasi Gissima Nyamo-Hanga kutoka Wakala wa Majengo Tanzania; 5. Dkt. Godwill George Wanga kutoka Baraza la Taifa la Biashara; na 6. Dkt. Neema Bhoke Mwita kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania
Uteuzi wa Wajumbe hao utadumu kwa kipindi cha miaka mitatu (3) kuanzia tarehe 16, Juni, 2021.