Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Simu masuala mbalimbali ya Kimaendeleo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Adesina Akinwumi ambaye alikuwa akizungumza kutokea Makao Makuu ya Benki hiyo Abidjan nchi Ivory Coast leo tarehe 11 Juni, 2021.
RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU NA RAIS WA AfDB DKT.ADESINA
By Alex Sonna
June 11, 2021 | 2:55 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
3 hours ago
TARURA NJOMBE YAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA
*Wananchi sasa kuzifikia huduma za kijamii kirahisi Njombe Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Wilaya ya Njombe imeendelea na kazi ya uboreshaji…
Mchanganyiko
3 hours ago
BIASHARA YA PUNDA YAHITAJI UDHIBITI MKALI, WADAU WATOA WITO
Happy LMkurugenzi wa Shirika la ASPA, linalojihusisha na ustawi na ulinzi wa punda, Livingstone Masija akizungumza na waandishi wa habari jijini Arushaazaro,Arusha . Arusha.…
