Home Mchanganyiko MAMA MARIA NYERERE AMTEMBELEA MJANE WA HAYATI MAGUFULI

MAMA MARIA NYERERE AMTEMBELEA MJANE WA HAYATI MAGUFULI

0
Mjane wa  Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amemtembelea Mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, awamu ya Tano, Mama Janeth Magufuli, nyumbani kwake jijni Dar es salaam leo. Mama Maria, aliyeongozana na mjukuu wake Bhoke Nyerere, alimkabidhi Mama Janeth zawadi ya Kitenge alipofika nyumbani hapo.