Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA ELIMU KWA MLIPAKODI KASULU

MATUKIO KATIKA PICHA ELIMU KWA MLIPAKODI KASULU

0

Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bi. Rose Mahendeka akimuelimisha mfanyabiashara wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi.

Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bi. Julieth Shehiza akimuelimisha mfanyabiashara wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi.

Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. James Ntalika akimuelimisha mfanyabiashara wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi.

Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. Joel Lema akimuelimisha mfanyabiashara wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi.

Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bi. Maya Magimba akimuelimisha mfanyabiashara wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea wilayani humo.

Afisa Msimamizi wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. Chama Siriwa akimuelimisha mfanyabiashara wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi. 

(PICHA ZOTE NA TRA).