Home Mchanganyiko WAFANYAKAZI BUZWAGI WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUPANDA MITI YA MATUNDA

WAFANYAKAZI BUZWAGI WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUPANDA MITI YA MATUNDA

0
 
Wafanyakazi wa mgodi  wa Barrick wa Buzwagi wameadhimisha Siku ya Mazingira Duniani mwaka 2021 kwa kupanda miti ya maembe katika eneo  la mgodi huo uliopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga
Wafanyakazi wa Barrick Buzwagi wakishiriki kupanda miti na kumwagilia miche waliyopanda
Wafanyakazi wa Barrick Buzwagi wakishiriki kupanda miti na kumwagilia miche waliyopanda
Wafanyakazi wa Barrick Buzwagi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza zoezi la kupanda miti kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani