Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na wadau mbalimbali katika ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP) katika Manispaa ya Kinondoni ambapo amekagua mradi wa Bwawani, barabara ya Tandale-Kisiwani, Mto sinza, Barabara ya Makanya na barabara ya Shekilango.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Amos Makalla akizungumza na wadau mbalimbali katika ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu ya kukagua Utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP) katika Manispaa ya Kinondoni ambapo amekagua mradi wa Bwawani, barabara ya Tandale-Kisiwani, Mto sinza, Barabara ya Makanya na barabara ya Shekilango.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na mfanyabiashara wa soko la Kinondoni katika ziara yake ya akikagua Utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP) katika Manispaa ya Kinondoni ambapo amekagua mradi wa Bwawani, barabara ya Tandale-Kisiwani, Mto sinza, Barabara ya Makanya na barabara ya Shekilango.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza mara baada ya kutembelea soko la Kinondoni katika ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP) katika Manispaa ya Kinondoni ambapo amekagua mradi wa Bwawani, barabara ya Tandale-Kisiwani, Mto sinza, Barabara ya Makanya na barabara ya Shekilango.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu akikagua miundombinu katika mto Tandale kwenye ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP) katika Manispaa ya Kinondoni ambapo amekagua mradi wa Bwawani, barabara ya Tandale-Kisiwani, Mto sinza, Barabara ya Makanya na barabara ya Shekilango.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu akiwa pamoja Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Amos Makalla alipowasili Mto Ng’ombe Ubungo katika akikagua Utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP) katika Manispaa ya Kinondoni ambapo amekagua mradi wa Bwawani, barabara ya Tandale-Kisiwani, Mto sinza, Barabara ya Makanya na barabara ya Shekilango. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu akikagua mto ng’ombe Ubungo Jijini Dar es Salaam katika ziara yake kukagua Utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP) katika Manispaa ya Kinondoni ambapo amekagua mradi wa Bwawani, barabara ya Tandale-Kisiwani, Mto sinza, Barabara ya Makanya na barabara ya Shekilango.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu akiingia katika soko lililopo Kinondoni katika ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP) katika Manispaa ya Kinondoni ambapo amekagua mradi wa Bwawani, barabara ya Tandale-Kisiwani, Mto sinza, Barabara ya Makanya na barabara ya Shekilango.
(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)
****************************
NA EMMANUEL MBATILO,DAR ES SALAAM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu amesema mpango wa Maji ya Mvua na Maji taka ya Jiji la Dar es Salaam tayari upo na utasaidia katika kupanga maeneo mbalimbali na natamani kuona Manispaa zetu hizi zikijenga barabara kwa fedha za ndani za Manispaa husika.
Ameyasema hayo leo akikagua Utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP) katika Manispaa ya Kinondoni ambapo amekagua mradi wa Bwawani, barabara ya Tandale-Kisiwani, Mto sinza, Barabara ya Makanya na barabara ya Shekilango.
“Lengo la mradi umezaa matunda ya kuboresha Jiji la Dar es Salaam, nimetembelea hili soko kwa kweli mazingira yanaridhisha na nyumba nzuri zinajengwa zinapendezesha hili eneo”. Amesema Mh.Ummy.
Aidha Mhe.Ummy amefurahishwa na hali ya utekelezaji wa miradi ya MDP na kuona kazi iliyofanyika zaidi ya Kilomita 170 na 36 zimebaki pamoja Masoko kujengwa na kukamilika huku ikisubiri kusogeza miundombinu ya barabara ili wananchi waweze kufika kwa uraihisi.
Pamoja na hayo ametoa maelekezo kwa sekta husika hadi kufikia Disemba 2022 ukarabati wa miundombinu Jangwani kuwe kumekamilika ili kuondokana na mafuriko ambayo yamekuwa kikwazo katika eneo hilo pindi mvua zikinyesha.
“Tunatafuta muarobaini wa kudumu wa eneo la Jangwani, nimetoa maelekezo hadi Disemba 2022 tusahau mafuriko pale Jangwani na inawezekana kabisa, sisi kama TAMISEMI tumepewa maelekezo ya kuendelea kuweka rasilimali za kuboresha miundombinu ya Jiji la Dar es Salaam”. Amesema Mhe.Ummy.
Sanjari na hayo Waziri Ummy amesema kuhusu Suala la Fidia kwa wananchi wa Mto Ng’ombe, amefurahishwa kuona Katibu Mkuu wa CCM ametoa maelekezo ya kulipa fidia, fedha za fidia bilioni 3.5 tayari serikali imeishahamisha kwa Manispaa ya Kinondoni ambapo wananchi 375 wanapaswa kulipwa fidia baada ya uhakiki.
“Fedha Hizi ni fedha za kodi za wananchi hatuwezi kulipa fidia bila kujiridhisha, maelekezo yangu kwa Mkurugenzi Kinondoni kwa waliohakikiwa na kukubali kulipwa walipwe mara moja maana wamesubiri kwa muda mrefu ili wakajenge maeneo mengine”. Amesema.
Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe.Amos Makalla amemshukuru Waziri wa TAMISEMI kwa kukagua miradi katika mkoa huo na kujionea kazi iliyofanyika na kumuhakikishia kila mradi atapita kuweka msukumo ili yote ikamilike kwa muda muafaka,