Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akimueleza jambo Naibu waziri wa Ujenzi na uchukuzi Mwita Waitara wakati alipotembelea uwanja wa ndege wa Nduli uliopo mkoa Iringa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja huo.
Mkuu wa wilaya ya
Iringa Richard Kasesela akimueleza jambo Naibu waziri wa Ujenzi na
uchukuzi Mwita Waitara wakati alipotembelea uwanja wa ndege wa Nduli
uliopo mkoa Iringa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja huo.

Na Fredy Mgunda,Iringa.
MKUU
wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amemuomba naibu waziri wa ujenzi
na uchukuzi kuhakikisha wakandarasi wanaojenga uwanja wa ndege wa Nduli
wanalipwa fedha kwa wakati ili kuhakikisha ifikapo mwezi wa kumi na
mbili unakuwa umekamilika na wananchi wanaanza kuutumia katika kipindi
cha krismass.

akizungumza
wakati wa ziara ya naibu waziri wa ujenzi na uchukuzi Mwita
Waitara,mkuu wa wilaya alisema kuwa wananchi wa Iringa wanashauku kubwa
ya kuutumia uwanja huu katika shughuli za kiuchumi.

alisema
kuwa uwanja wa ndege wa Nduli umekuwa na umuhimu mkubwa katika kukuza
uchumi wa wananchi wa mkoa wa Iringa kwa kusafirisha mazao ya kilimo
kama vile parachichi kupeleka nje ya nchi na mikoa mingine.

kasesela
alisema kuwa wananchi wa mkoa wa Iringa wanajituma vilivyo kwenye
kilimo cha mazao ya kibiashara ambayo yamekuwa yanachangia kwa kiasi
kikubwa kukuza uchumi na kuleta maendeleo kwa mwananchi mmoja mmoja na
mkoa kwa ujumla.

kuwa uwanja huo unatakiwa kuanza kufanya kazi katika kipindi cha
krismass kwa kuziunganisha awamu zote mbili ziwe kwenye awamu moja kwa
kuufunga kabisa uwanja huu na kuufungua uwanja wa ndege wa Ifunda kwa
kipindi hiki cha ujenzi.

alimuomba naibu waziri kuhakikisha analipwa fedha za ujenzi anazotakiwa
kwa wakati ili asikwame kwenye ujenzi wa uwanja huo kwa wakati na
wananchi waanze kuutumia mapema kwa shughuli za kiuchumi.

uwanja
huu kwetu ni muhimu sana sana hasa kwenye kipindi hiki ambacho tupo
kwenye uchumi wa kati Iringa tunasafirisha sana mazao ya kilimo kama
vile parachichi na mboga mboga kupeleka nje ya nchi.

Kwa
upande wake naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mwita Waitara alisema
kuwa wamelipokea swala la kulipa kwa wakati wakandarasi fedha ambazo
wanazidai ili kuharakisha kwa ujenzi wa uwanja huo ambao unategemewa na
wananchi wa mkoa wa Iringa kukuza uchumi wao.

Alisema
kuwa watamliapa fedha kwa wakati ili waangalie kama kweli atafanya kazi
kwa wakati kama ambavyo amekuwa akidai fedha hizo kwa mara kwa mara kwa
ajili ya kuendelea na ujenzi wa uwanja huo.

Mh:Waitara
alisema kuwa hata wakandarasi walisema kuwa wapo tayari kufanya kazi
kwa awamu moja tu cha masingi kinachotakiwa kumlipa malipo yake kwa
wakati ili ifikapo mwezi wa kumi na mbili uanze kutumika.

Waitara
alimalizia kwa kusema kuwa uwanja huo wa ndege ukikamilika kwa wakati
utachochea kukuza kwa haraka uchumi wa wananchi wa mkoa wa Iringa na
kuleta maendeleo kwa kasi ambayo inatarajiwa na wananchi wengi.