Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akimuangalia mama na mtoto ambao ni majeruhi wa ajali ya Basi la Kampuni ya Classic linalofanya safari zake kati ya Uganda, Kampala na Dar es Salaam baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia siku ya Jumatano katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga. Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,ambapo naibu waziri alienda kuwajulia hali leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akimuangalia mmoja wa majeruhi wa ajali ya Basi la Kampuni ya Classic linalofanya safari zake kati ya Uganda, Kampala na Dar es Salaam baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia siku ya Jumatano katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga. Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,ambapo naibu waziri alienda kuwajulia hali leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akizungumza na majeruhi wa ajali ya Basi la Kampuni ya Classic linalofanya safari zake kati ya Uganda, Kampala na Dar es Salaam baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia siku ya Jumatano katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga. Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,ambapo naibu waziri alienda kuwajulia hali leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo(kushoto) akisikiliza maelezo ya Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,Dkt.Augustino Maufi baada ya kumtembelea mmoja wa majeruhi wa ajali ya Basi la Kampuni ya Classic linalofanya safari zake kati ya Uganda, Kampala na Dar es Salaam baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia siku ya Jumatano katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga. Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,ambapo naibu waziri alienda kuwajulia hali leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akizungumza na ndugu wa majeruhi wa ajali ya Basi la Kampuni ya Classic linalofanya safari zake kati ya Uganda, Kampala na Dar es Salaam baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia siku ya Jumatano katika eneo la Buyubi mkoani Shinyanga. Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga,ambapo naibu waziri alienda kuwajulia hali leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi