Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na wafanyabiashara mbalimbali katika Soko Kuu la Kariakoo Jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Sokoni hapo leo tarehe 1 June, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipita katika eneo la Soko Kuu la Kariakoo kujionea shughuli mbalimbali wanazofanya wafanyabiashara ndogondogo wa Soko la Kariakoo mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza tarehe 1 June, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Sokoni hapo ili kutatua baadhi ya kero na kutoa maagizo kwa wahusika wakuu wanaosimamia Soko hilo.
PICHA NA IKULU