Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa TANESCO Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Kenneth Boimanda alipotembelea banda la TANESCO katika maonyesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoandaliwa na NACTE kwa kushirikiana na Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) yanayoendelea katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Miradi TANESCO,Erasto Chiswanu alipotembelea banda la TANESCO katika maonyesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoandaliwa na NACTE kwa kushirikiana na Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) yanayoendelea katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka,akitoa maelezo katika banda la TANESCO katika maonyesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoandaliwa na NACTE kwa kushirikiana na Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) yanayoendelea katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka akiweka saini katika kitabu cha wageni, alipotembelea banda la TANESCO katika maonyesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoandaliwa na NACTE kwa kushirikiana na Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) yanayoendelea katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Mhandisi wa Miradi TANESCO,Erasto Chiswanu akitoa elimu kwa Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana Msalato walitembelea banda la TANESCO katika maonyesho ya pili ya elimu ya mafunzo na ufundi yaliyoandaliwa na NACTE kwa kushirikiana na Taasisi ya sekta binafsi (TPSF) yanayoendelea katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma