Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo nao .[Picha na Ikulu] 25/05/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika kwa mazungumzo na Mhe.Rais Ikulu Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu] 25/05/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo nao .[Picha na Ikulu] 25/05/2021