Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoweri Kaguta Museven wa Uganda wakionesha Mkataba wa Nchi Hodhi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la afrika Mashariki, baada ya kutia saini Mkataba huo leo Mei 20,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungan wa Tanzania kwa Rais Yoweri Museven wa Uganda, alipowasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam leo Mei 20,2021 kwa ajili ya Utiaji saini Mkataba wa Nchi Hodhi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki.