Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wakati alipowasili kwenye Makao Mkuu ya zamani ya Shirika hilo, Ubungo jijini Dar es salaam, Mei 20, 2021. Kushoto ni Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania – TANESCO kwenye Makao Makuu ya zamani ya Shirika hilo Ubungo jijini Dar es salaam, Mei 20, 2021. Kushoto ni Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania – TANESCO kwenye Makao Makuu ya zamani ya Shirika hilo Ubungo jijini Dar es salaam, Mei 20, 2021. Kulia ni Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani.
Baadhi ya Viongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye Makao Makuu ya zamani ya Shirika hilo jijini Dar es salaam, Mei 20, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu