Home Mchanganyiko RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA BARAZA LA EID ELFITR LILILOFANYIKA...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA BARAZA LA EID ELFITR LILILOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Baraza la Eid ElFitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe  14 Mei, 2021.