Home Mchanganyiko RAIS MHE.SAMIA SULUHU AWASILI VISIWANI ZANZIBAR AKITOKEA JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS MHE.SAMIA SULUHU AWASILI VISIWANI ZANZIBAR AKITOKEA JIJINI DAR ES SALAAM

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara bada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo tarehe 14 Mei, 2021 wakati akitokea Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU