Home Mchanganyiko WAZIRI MKUU MAJALIWA AIKABIDHI PSSSF HATI KWA KUFANIKISHA MAONESHO YA MAKISATU DODOMA

WAZIRI MKUU MAJALIWA AIKABIDHI PSSSF HATI KWA KUFANIKISHA MAONESHO YA MAKISATU DODOMA

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi hati Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, CPA. Hosea Kashimba kwa kutambua mchango wa Mfuko wa  PSSSF katika kufanikisha maonesho ya Mashindano ya kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) yaliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, Mei 2021.
Waziri Kassim Majaliwa akia katika picha ya pamoja na wadau waliofanikisha maonesho hayo.