Wafanyakazi wa TBL PLc, wakishiriki kupata futari waliyoandaliwa na Kampuni jana jijini Dar es Salaam wakati wa kipindi hiki cha mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan .
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Plc, katika picha ya pamoja kabla ya kushiriki futari iliyoandaliwa na kampuni