Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano (UTT AMIS), Daudi Mbaga akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wapya wa
Wakala wa Barabara nchini TANROADS juu ya Uwekezaji wa Pamoja mkoani
Morogoro.
Baadhi ya wafanyakazi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wakisikiliza mada iliyokuwa ikitolewa juu ya Uwekezaji wa Pamoja mkoani
Morogoro.