Home Mchanganyiko UTT AMIS YATOA MAFUNZO JUU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WAFANYAKAZI WA...

UTT AMIS YATOA MAFUNZO JUU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WAFANYAKAZI WA TANROADS

0
Mwezeshaji Daudi Mbaga kutoka UTT AMIS akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wapya wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS juu ya Uwekezaji wa Pamoja  mkoani Morogoro.

Baadhi ya wafanyakazi wa TANROADS wakipata mafunzo juu ya Uwekezaji wa Pamoja kutoka kwa Daudi Mbaga wa UTT AMIS.