Mwezeshaji Daudi Mbaga kutoka UTT AMIS akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wapya wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS juu ya Uwekezaji wa Pamoja mkoani Morogoro.
Baadhi ya wafanyakazi wa TANROADS wakipata mafunzo juu ya Uwekezaji wa Pamoja kutoka kwa Daudi Mbaga wa UTT AMIS.