Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Dkt. Suleiman Serera,akimkabidhi Tuzo Afisa Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi za Taifa (TANAPA) Jully Lyimo baada ya kuibuka washindi katika kipengele cha mashirikiano bora baina ya Waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma katika Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani,Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari Mkoa wa Dodoam Bw.Mussa Yusuph iliyofanyika leo Mei 8,2021 jijini Dodoma.
Afisa Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi za Taifa (TANAPA) Jully Lyimo,akitoa neno la shukrani baada ya kupata tuzo ya ushindi katika kipengele cha mashirikiano bora baina ya Waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma katika Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani iliyofanyika leo Mei 8,2021 jijini Dodoma.
Afisa Uhifadhi kutoka Hifadhi za Taifa (TANAPA) Cesilia Nkwali,akielezea umuhimu wa utalii na nafasi ya waandishi wa habari wakati wa Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani iliyofanyika leo Mei 8,2021 jijini Dodoma.