Home Mchanganyiko SPIKA NDUGAI AFUTURISHA WAHESHIMIWA WABUNGE JIJINI DODOMA

SPIKA NDUGAI AFUTURISHA WAHESHIMIWA WABUNGE JIJINI DODOMA

0

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai awaongoza Waheshimiwa Wabunge katika futari aliyoiandaa kwa Wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 07, 202, anaefuata ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Ummy Mwalimu.

Waheshimiwa wabunge wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Spika Job Ndugai kwenye viwanja vya bunge Jijini Dodoma, Mei 07, 2021

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)