Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe, akiwa na Mbunge wa Lupa-Chunya Mhe. Masache Kasaka na viongozi wa vyama vya ushirika (AMCOS) toka vijiji vya Nkung’ungu, Kalangali, Kagera na Lyeselo waliofika Bungeni Dodoma kufuatilia madai ya Malipo ya Tumbaku msimu uliopita