Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEFUNGUA MASJID NUURUL YAQIIN DUNDUA...

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEFUNGUA MASJID NUURUL YAQIIN DUNDUA KIJIJI KIPYA WILAYA YA KASKAZINI B UNGUJA.

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kuufungua Masjid Nuurul Yaqiin ulioko katika Kijiji kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Kijiji cha Dundua baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa Masjid Nuurul Yaqiin Dundua, uliopo katika Kijiji Kipya cha Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja.(Picha na Ikulu)

WAUMINI wa Dini ya Kiislam Kijiji cha Dundua wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa Masjid Nuurul Yaqiin Dundua Wilaya ya Kaskazini B Unguja.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Nuurul Yaqiin Dundua na (kulia kwa Rais) Waziri wa Maji na Nishati Zanzibar Mhe.Suleiman Masoud Makame na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu)