Home Mchanganyiko MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA FEDHA...

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mwigulu Nchemba, wakati Mhe. Mwigulu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Mei 04,2021.