Home Mchanganyiko MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WAZIRI SIMBACHAWENE

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WAZIRI SIMBACHAWENE

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, wakati Mhe. Simbachawene alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Mei 04,2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, wakati Mhe. Simbachawene  alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Mei 04,2021.